Sakata La Kutelekeza Mtoto Limefika pabaya...Aliyezaa na MUNA Afunguka...Eti Mwanae Kafa, Namshtaki | Usiku wa Mahaba

Sakata La Kutelekeza Mtoto Limefika pabaya...Aliyezaa na MUNA Afunguka...Eti Mwanae Kafa, Namshtaki


KUFUATIA Sakata la Muigizaji maarufu Bongo ambaye kwa sasa ameokoka, Muna Love, kudaiwa kumtelekeza mtoto wake mkubwa anayeitwa Bryan huko Moshi kijijini, Global TV imemtafuta Baba mzazi wa mtoto huyo ambaye alikuwa Mume wa Muna anayefahamika kwa jina la Fredy na kuzungumza naye kuhusu ukweli wa jambo hilo.

Katika mahojiano hayo, Fredy amesema baada ya kuzagaa kwa taarifa hizo na kutua masikioni mwa Muna alinyanyua simu na kumpigia mzazi mwenziye huyo ambapo hawakuelewana badala yake waliishia kutoleana maneno machafu.

VIDEO: MSIKIE ALICHOKISEMA





Bonyeza Picha Hapo chini Kudownload App Ya Usiku wa Mahaba Uweze Kujiunga na Magroup ya WhatsApp Ya KIkubwa Utasoma Simulizi Tamu na Kujifunza Jinsi ya Kumridhisha Mpenzi wako Bonyeza Picha Chini au HAPA




0 Response to "Sakata La Kutelekeza Mtoto Limefika pabaya...Aliyezaa na MUNA Afunguka...Eti Mwanae Kafa, Namshtaki"

Post a Comment