Ubuyu unaeleza kwamba chanzo cha wawli hao kutemana ni kutokana na Uwoya kuendelea kula maisha Ughaibuni bila kujali kwamba mpenzi wake huyo anaumwa na hali yake siyo nzuri sana.
Inadaiwa uwoya alijistukia mwenyewe baada ya kuona mumewe huyo ni mgonjwa, alitupia picha ya janjaro na kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa lakini mashabiki walizidi kumponda kwa kutokujali hali ya mumewe wala.
Uwoya akaona isiwe kesi, leo Jumanne amekuja na mpya na kuandika;
“Whatever you hear about me please believe it…I no longer have time to explain myself…you can also add some if you wantπππ,”
Mashabiki walizidi kumponda na wapo waliomsifia, baada ya hapo aliposti hii ambayo imeatafsriwa kwamba penzi la wawili hao sasa ndiyo basi tena.
Bonyeza Picha Hapo chini Kudownload App Ya Usiku wa Mahaba Uweze Kujiunga na Magroup ya WhatsApp Ya KIkubwa Utasoma Simulizi Tamu na Kujifunza Jinsi ya Kumridhisha Mpenzi wako Bonyeza Picha Chini au HAPA
0 Response to "Masikini Dogo Janja, Anachofanyiwa na Irene Uwoya Unaweza Kupotea Shuhudia Mwenyewe Hapa"
Post a Comment