Kiumeni.com kama jadi yetu ya kukufanya wewe uwe mwanaume bora zaidi, tumekuandalia mambo saba ambayo yanasababisha hali hii itokee na kumfanya mwenza wako aboreke kitandani na kuishia kutoa visingizio vingine visivyokuwa na maana sababu anaona aibu kukwambia. Visome kwa umakini na uvielewe kama unataka wawe wanarudi na kutaka utamu zaidi.
1 – Unaomba ruhusa
Kama ukiwa unauhusiano wa muda mrefu na mwanamke na umeshaelewa lugha yake ya mwili na hisia zake, hakuna kinachomuondoa kwenye hali ya kihisia kama kuombwa ruhusa ya kiofisi kuendelea na jambo hasa juu ya yale mambo yetu mazuri, hauhitaji karatasi ya mahakama ya ruhusa kuendelea kumpa vishawishi na kumtekenya.
2 – Mapenzi ya kukurupuka
Mwanamke wako sio punda wa kupandwa bila matayarisho, hajawa doli la kuchezea. Wanawake wote hupendwa kutayarishwa na kupewa mapenzi ya huba yenye hisia, sio mapenzi ya kikurya “Mama Robhii, raraa ni kurariie!”. Sio kwa staili hii jamaa, jaribu kuwa mvumbuzi wa mambo, ongeza viungo mtoto wa watu alegee na kusisimka kwa huba na mahaba, usiwe na haraka maana tayari yupo kitandani, mmenye kama ndizi kidogo huku unakula taratibu, kidogo tena huku ukiyaachanisha maganda taratibu na kwa staili ndo unakula tena, we ni mpenzi wake na sio mbakajia, mfanye akuone kama malaika ulioshushwa toka mbinguni kwa kazi moja ya kumpenda na kumpa raha duniani.
Usipojiongeza kwenye mambo mazuri ya kitandani, mwingine mjuzi zaidi yako atakupokonya tonge mdomoni.
3 – Haujiongezi inavyopaswa............
>>>Malizia Habari HiI Ndani ya Usiku wa Mahaba App ni kwa Wakubwa Tuu..Pia Jifunze Kumfikisha Kileleni Mwanamke Ndani ya dakika Tatu,Pia Jiunge na Magroup Ya kikubwa ya Whatsapp Yote Ndani Ya App...Download App ya Usiku wa Mahaba Bonyeza Hapa<<<
0 Response to "Vitu 7 Viinavyowaboa Wanawake Ukivifanya Mkiwa Kitandani."
Post a Comment