Kupiga Denda (Romancing) ni moja kati ya matendo yanayopendwa na watu wengi kwani huamsha hisia za kimapenzi, Lakini umewahi kujiuliza kuwa kuna uwezekano wa kubadilishana bakteria wengi wakati wa tendo hilo?
Kwa mujibu wa wataalamu bakteria hao husababishwa na mambo mengi, wengine kiasili hupatikana kwenye mate na wengine husababishwa na mabaki ya chakula yanayobaki kinywani.
Sasa wataalamu wanasema unapogiga denda (Romance) unaweza kubadilishana na mwezi wako bakteria kati ya milioni 10 mpaka bilioni 1. Usikose kuwa unatutembelea kila siku kwa habari mbalimbal
0 Response to "Hutaamini Hii Ndio Idadi ya Bacteria Unayopata Kila Unapopigana Denda."
Post a Comment