Msanii wa muziki wa Bongo fleva Aslay Isihaka amejikuta akipatwa na fedheha baada ya shoo yake aliyopiga nchini Uingereza kukosa mashabiki.
Aslay ambaye alisafiri kwenda nchini Uingereza mwezi uliopita mwishoni ambapo alienda kupiga shoo yake.
Kwa kuwa Aslay ni mmoja kati ya mastaa ambao wanafanya vizuri sana Kwenye Bongo fleva alitegemewa kupata mapokezi makubwa nchini humo Lakini cha kushangaza ni shoo viti aliyoipiga.
Aslay sio Msanii wa kwanza kutoka Bongo aliyepiga shoo tupu nchini Uingereza kwani mapema mwezi huu Msanii mkongwe Ray C naye alisemekana kukosa mashabiki katika shoo yake nchini humo.
Wasanii ambao wamekuwa wakijulikana kwa kujaza sana shoo zao za nje ya nchi ni pamoja na Ali Kiba na Diamond.
Angalia Video ya iyo Show Ndani Ya App ya Usiku wa Mahaba Bonyeza maneno ayo Hapo chini ku-install
0 Response to "Masikini… Aslay Apiga Show Ukumbi ukiwa Mtupu London Angalia Video Hapa"
Post a Comment