Breaking News:: Nape Nnauye apata ajali ya gari Leo Soma Zaidi Hapa | Usiku wa Mahaba

Breaking News:: Nape Nnauye apata ajali ya gari Leo Soma Zaidi Hapa


Mbunge wa jimbo la Mtama kwa tiketi ya CCM, Nape Nnauye, amepata ajali ya gari leo asubuhi akiwa safarini kuelekea wilayani Liwale kushiriki kikao cha kamati kuu ya siasa ya mkoa wa Lindi.

Hata hivyo, imeelezwa kuwa hakuna madhara makubwa yaliyotokea kwa waliokuwa ndani na nje ya gari hilo, ambapo Nape Nnauye alikuwa njiani kwenda kuungana na ziara ya Katibu mkuu wa CCM Taifa, Dr Bashiru Ally anayezuru wilaya ya Liwale.

Chanzo: Azam TV

Bonyeza Picha Hapo chini Kudownload App Ya Usiku wa Mahaba Uweze Kujiunga na Magroup ya WhatsApp Ya KIkubwa Utasoma Simulizi Tamu na Kujifunza Jinsi ya Kumridhisha Mpenzi wako Bonyeza Picha Chini au HAPA

0 Response to "Breaking News:: Nape Nnauye apata ajali ya gari Leo Soma Zaidi Hapa"

Post a Comment