Breaking: Mtangazaji wa Clouds Fm Soudybrown na msanii Maua sama wamekamatwa na Polisi (VIDEO) | Usiku wa Mahaba

Breaking: Mtangazaji wa Clouds Fm Soudybrown na msanii Maua sama wamekamatwa na Polisi (VIDEO)


Mtangazaji wa Clouds Fm Soudy Brown wa Shilawadu pamoja na muimbaji wa muziki, Maua Sama wanadaiwa kushikiliwa na Jeshi la polisi Dar es salaam.

Wawili hao wanadaiwa kukamatwa na Polisi Kinondoni lakini jioni hii tayari wameshahamishiwa Central Polisi.

Kwa mujibu wa chanzo chetu cha uhakika, kimedai wawili hao walishikwa siku ya jana baada ya kupost video mtandaoni inayowaonekana watu wakicheza wimbo ‘Iokote’ wa Maua Sama huku wakiwa wanakanyaga hela.

Bongo5 tumenasa video inayowaonyesha baadhi ya wafanyakazi Clouds Media wakiingia Polisi Central.

Kwa taarifa zaidi endelea kukaa na Bongo5.
.
.

Wakubwa Tuu..Jifunze Kumkojolesha Mwanamke Ndani ya dakika Tatu, Jiunge na Magroup Ya kikubwa Whatsapp Pakua App Usiku wa Mahaba >>>Bonyeza Hapa<<< Au Picha Hapo Chini


0 Response to "Breaking: Mtangazaji wa Clouds Fm Soudybrown na msanii Maua sama wamekamatwa na Polisi (VIDEO)"

Post a Comment