Kauli ya Ommy Dimpoz kuhusu Diamond Platnumz kumpa pole (+video) | Usiku wa Mahaba

Kauli ya Ommy Dimpoz kuhusu Diamond Platnumz kumpa pole (+video)


Wataalamu wa mambo husema matatizo huleta watu karibu, ni kweli……. Mwimbaji wa Bongofleva Ommy Dimpoz amepata pole nyingi sana baada ya kuumwa huku pole hizi zikitoka kwa Marafiki, Ndugu, Jamaa na Watu wengine ambao aliwahi kukwaruzana nao kwenye maisha huku wengine akiwa hajaongea nao siku nyingi.

Miongoni mwa watu ambao walimpost na kumpa pole Ommy Dimpoz ni Mwimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz ambae Watanzania wengi wanafahamu wawili hawa walikua Marafiki wakubwa kabla ya uhusiano wao kupitiwa na upepo mbaya.

Mwingine ambae wengi wanafahamu hakuwa kwenye uhusiano mzuri na Ommy Dimpoz ni Mubenga, Meneja wa Ommy Dimpoz ambae zaidi ya miaka mitatu iliyopita waliacha kufanya kazi pamoja na kila mmoja kuchukua njia yake.

Mubenga ni miongoni mwa Watanzania waliomtembelea Ommy Dimpoz na kumpa pole zaidi ya mara mbili kwenye nyumba anayoishi wakati huu wa matibabu hapa Johannesburg, South Africa, kwenye hii video fupi hapa chini Dimpoz amewazungumzia wawili hawa na wengine. DownLoad App Ya Usiku wa Mahaba Uweze Kuangalia Video Hii Hakika Tumombee Ommy>>>Bonyeza Hapa au Hapo Chini<<<

>>>Malizia Habari HiI Ndani ya Usiku wa Mahaba App ni kwa Wakubwa Tuu..Pia Jifunze Kumfikisha Kileleni Mwanamke Ndani ya dakika Tatu,Pia Jiunge na Magroup Ya kikubwa ya Whatsapp na vichekeshoYote Ndani Ya App...Download App ya Usiku wa Mahaba Bonyeza Hapa<<<

0 Response to "Kauli ya Ommy Dimpoz kuhusu Diamond Platnumz kumpa pole (+video)"

Post a Comment